UCL: KLABU ZA MANCHESTER ZAFUNGA WAJERUMANI, RONALDO APIGA 2 KWA REAL!


UEFA CHAMPIONZ LIGI
MATOKEO:
Jumatano 30 Septemba 2015
KUNDI A
Malmö FF 0 Real Madrid 2          
Shakhtar Donetsk 0 Paris St Germaine 3         
KUNDI B
CSKA 3 PSV 2                  
Man United 2 VfL Wolfsburg 1              
KUNDI C
FC Astana 2 Galatasaray 2          
Atletico Madrid 1 Benfica 2         
KUNDI D
Borussia Mönchengladbach 1 Man City 2         
Juventus 2 Sevilla 0          

MAN UNITED 2 WOLFSBURG 1
UCL15-16Man United walitoka nyuma kwa Bao 1 na kuifunga VfL Wolfsburg Bao 2-1 katika Mechi ya Kundi B la UEFA CHAMPIONZ LIGI.
Wolfsburg walifunga Bao katika Dakika ya 4 kupitia Daniel Caligiuri ambae aliunawa Mpira wa Krosi ya Juan Mata na kutolewa Penati iliyofungwa na Mata katika Dakika ya 34.
Hadi Haftaimu, Man United 1 Wolfsburg 1.
Chris Smalling aliipa Man United Bao la Pili katika Dakika ya 53 alipomalizia krosi ya Juan Mata.
VIKOSI:
Man United: De Gea; Valencia [Young, 46’], Smalling Blind, Darmian; Schweisteiger, Schneiderlin; Mata, Rooney, Memphis; Martial
Akiba: Romero, Jones, Young, Wilson, McNair, Fellaini, Pereira
Wolfsburg: Benaglio; Trasch, Naldo, Dante, Rodriguez; Guilavogui, Arnold; Caligiuri, Kruse, Draxler; Dost
Akiba: Grun, Bendtner, Schafer, Klose, Schurrle, Jung, Seguin
REFA: Victor Kassell (Hungary)
MANUNITED-WOLFSBURG-SMALLING

BORUSSIA MONCHENGLADBACH 1 MAN CITY 2
Borussia Monchenglabach imechapwa 2-1 kwao na Man City katika Mechi ya Kundi D la UEFA CHAMPIONZ LIGI.
Raffael Araujo aliikosesha Borussia Monchenglabach Bao kwenye Dakika ya 20 walipopewa Penati na Kipa Joe Hart kuicheza.
Penati hiyo ilitolewa baada ya Nicolas Otamendi kumchezea faulo Raffael Araujo.
Hadi Mapumziko, Borussia Monchenglabach 0 Man City 0.
Dakika ya 54, pasi ya Julian Korb ilimkuta Lars Stindl aliemalizia na kuipa Bao Monchenglabach.
Man City walisawazisha kwa Bao la Nicolas Otamendi la Dakika ya 66 kufuatia Kona na Dakika ya 90 kupata Penati baada ya Sergio Aguero kuangushwa na Fabian Johnson na mwenyewe Aguero kufunga Penati hiyo na kuipa Man City ushindi wa Bao 2-1.
VIKOSI:
Borussia Mönchengladbach: Sommer, Korb, Christensen, Dominguez, Wendt, Dahoud, Xhaka, Herrmann, Johnson, Raffael, Stindl.
Akiba: Heimeroth, Nordtveit, Drmic, Hazard, Traore, Schultz, Hahn.
Manchester City: Hart, Sagna, Otamendi, Demichelis, Kolarov, Fernandinho, Toure, Sterling, De Bruyne, Silva, Aguero.
Akiba: Caballero, Zabaleta, Maffeo, Evans, Fernando, Barker, Navas.
REFA: Clément Turpin (France)

MALMÖ FF 0 REAL MADRID 2
Bao 2 za Cristiano Ronaldo zimewapa Real ushindi wa 2-0 walipocheza Ugenini na Malmo huko Sweden.
Dakika ya 29 Cristiano Ronaldo aliipa Real Bao baada ya kuunganisha pasi ya Isco na hilo ni Bao lake la 500 katika maisha yake ya Soka ya Kulipwa.
Hadi Mapumziko Malmo 0 Real 1.
Ronaldo alifunga Bao la Pili katika Dakika ya 90.
VIKOSI:
Malmo: Willand; Tinnerholm, Arnason, Bengtsson, Yotun; Rodic, Lewicki, Adu, Berget; Djurdjic; Rosenberg.
Akiba: Andersson, Carvalho, Vindheim, Rakip, Wolff Eikrem, Mehmeti, Sana
Real Madrid: Navas; Carvajal, Varane, Nacho, Arbeloa; Kroos, Casemiro, Kovacic; Isco, Benzema, Ronaldo.
Akiba: Casilla, Marcelona, Lucas Vazquez, Modric, Jese, Cheryshev, B.Mayoral.
REFA: Cuneyt Cakir [Turkey]

UEFA CHAMPIONZ LIGI
MATOKEO
Jumanne 29 Septemba 2015
KUNDI E
Barcelona 2 Bayer Leverkusen 1            
BATE Borislov 3 AS Roma 2                  
KUNDI F
Arsenal 2 Olympiakos 3              
Bayern Munich 5 Dinamo Zagreb 0                  
KUNDI G
FC Porto 2 Chelsea 1                 
Maccabi Tel Aviv 0 Dynamo Kiev 2          
KUNDI H
Lyon 0 Valencia 1             
Zenit St Petersburg 2 KAA Gent 1
Jumatano 16 Septemba 2015
KUNDI E
Bayer Leverkusen 4 BATE Borislov 1      
AS Roma 1 Barcelona 1              
KUNDI F
Dinamo Zagreb 2 Arsenal 1        
Olympiakos 0 Bayern Munich 3             
KUNDI G
Chelsea 4 Maccabi Tel Aviv 0       
Dynamo Kiev 2 FC Porto 2          
KUNDI H
KAA Gent 1 Lyon 1           
Valencia 2 Zenit St Petersburg 3  
Jumanne Septemba 15
KUNDI A
PSG 2 Malmo Ff 0
Real Madrid 4 FC Shakhtar Donetsk 0
KUNDI B
PSV Eindhoven 2 Man United 1
VfL Wolfsburg 1 CSKA Moscow 0
KUNDI C
Galatasaray 2 Atletico Madrid 0
Benfica 2 FC Astana 0
KUNDI D
Man City 1 Juventus 2
Sevilla 3 Borussia Monchengladbach 0

TAREHE MUHIMU:
-Ratiba Mechi za Makundi: 
Mechidei 1: 15/16 Septemba
Mechidei 2: 29/30 Septemba 
Mechidei 3: 20/21 Oktoba
Mechidei 4: 3/4 Novemba 
Mechidei 5: 24/25 Novemba 
Mechidei 6: 8/9 Decemba
Raundi za Mtoano:
-Droo ya Raundi ya Mtoano ya Timu 16: Desemba 14
**Mechi Februari 16/17/23/24 na Marudiano Machi 8/9/15/16
-Droo ya Robo Fainali: Machi 18
**Mechi Aprili 5/6 na Marudiano Aprili 12/13
-Droo ya Nusu Fainali: Aprili 15
**Mechi Aprili 26/27 na Marudiano Mei 3/4
FAINALI
Mei 28
San Siro, Milan, Italy

About Adsense Tanzania

Zanzibar is Our Home Town, lets embrace her and enjoy her fruits while we Last.

Toa Maoni kupitia Face book / Comment Using Using Facebook

Hakuna maoni:

Leave a Reply


Top